 |
| Mkurugenzi
Msaidizi wa Habari, elimu na mawasiliano wa bodi ya mikopo Tanzania,
Cosmas Mwaisobwa akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana |
Serikali kupitia Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza rasmi zoezi la maombi ya mikopo kwa njia ya mtandao kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya Elimu ya Juu kwa wanafunzi kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Wanafunzi wenye sifa wanapaswa kusoma kwa umakini mwongozo huu kabla ya kujaribu kufanya maombi! Mwongozo huu unapatikikana katika tovuti ya Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu, au bonyeza
hapa.
No comments:
Post a Comment